Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 10:10-16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Lakini akahisi njaa sana na akatamani kula. Walipokuwa wakitayarisha mlo, akapata njozi+ 11 naye akaona mbingu imefunguliwa na kitu fulani* kikishuka kama shuka kubwa la kitani, kikiteremshwa duniani kwa ncha zake nne; 12 na ndani yake mlikuwa na kila aina ya wanyama wenye miguu minne, viumbe wanaotambaa wa dunia, na ndege wa angani. 13 Kisha sauti ikamwambia: “Petro, simama, chinja ule!” 14 Lakini Petro akajibu: “Hapana Bwana, kwa maana sijawahi kula kitu chochote kilicho najisi na kisicho safi.”+ 15 Ile sauti ikamwambia mara ya pili: “Acha kuviita najisi vitu ambavyo Mungu amevitakasa.” 16 Jambo hilo likatokea mara ya tatu, na papo hapo kile chombo kikarudishwa mbinguni.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2026)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2026 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki