Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 28:3-6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Lakini Paulo alipokusanya tita la kuni na kuliweka juu ya moto, nyoka* akatoka kwa sababu ya joto na kujifunga kwenye mkono wake. 4 Watu hao waliozungumza lugha ya kigeni walipomwona nyoka huyo mwenye sumu akining’inia kwenye mkono wake, wakaanza kuambiana: “Hakika mtu huyu ni muuaji, na ingawa alifika salama kutoka baharini, Haki* haikumruhusu aendelee kuishi.” 5 Hata hivyo, akamkung’uta yule nyoka na kumtupa ndani ya moto, naye hakupatwa na madhara. 6 Lakini walitarajia kwamba atavimba au aanguke na kufa ghafla. Baada ya kusubiri kwa muda mrefu na kuona hajapatwa na jambo lolote baya, wakabadili maoni yao na kuanza kusema yeye ni mungu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2026)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2026 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki