Matendo 22:30 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 30 Basi siku iliyofuata, kwa kuwa alitaka kujua hasa sababu iliyowafanya Wayahudi wamshtaki, akamfungua na kuwaamuru wakuu wa makuhani na Sanhedrini yote wakusanyike. Kisha akamleta Paulo chini na kumsimamisha kati yao.+
30 Basi siku iliyofuata, kwa kuwa alitaka kujua hasa sababu iliyowafanya Wayahudi wamshtaki, akamfungua na kuwaamuru wakuu wa makuhani na Sanhedrini yote wakusanyike. Kisha akamleta Paulo chini na kumsimamisha kati yao.+