-
Matendo 27:9, 10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Muda mrefu ulikuwa umepita na kufikia sasa ilikuwa hatari kusafiri baharini, kwa sababu hata kipindi cha kufunga kwa Siku ya Kufunika Dhambi+ tayari kilikuwa kimepita, basi Paulo akatoa pendekezo, 10 akawaambia: “Ninaona kwamba safari hii itakuwa na madhara na hasara kubwa si kwa shehena na meli tu bali pia kwa uhai wetu.”*
-