Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wagalatia 1:11, 12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Akina ndugu, ningependa mjue kwamba habari njema niliyowatangazia haitokani na wanadamu;+ 12 kwa kuwa sikuipokea kutoka kwa mwanadamu, wala sikufundishwa, bali ilikuwa kupitia ufunuo wa Yesu Kristo.

  • Wagalatia 2:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Lakini nilienda kutokana na ufunuo, nami nikawajulisha habari njema ambayo ninahubiri kati ya mataifa. Hata hivyo, nilifanya hivyo faraghani, mbele ya wanaume walioheshimiwa sana, ili kuhakikisha kwamba sikuwa ninakimbia bure au sikuwa nimekimbia bure.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2026)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2026 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki