4 Ni nini chanzo cha vita na mapigano miongoni mwenu? Je, havitokani na tamaa zenu za mwili zinazoendeleza pambano ndani yenu?+ 2 Mnatamani, lakini hamna kitu. Mnaendelea kuua na kutamani kwa wivu, na bado hamwezi kupata. Mnaendelea kupigana na kufanya vita.+ Hamna kitu kwa sababu hamwombi.