-
Matendo 1:10, 11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Nao walipokuwa wakitazama angani akiwa anaenda, ghafla wanaume wawili wenye mavazi meupe+ wakasimama kando yao 11 na kusema: “Wanaume wa Galilaya, kwa nini mnasimama mkitazama angani? Huyu Yesu aliyechukuliwa kutoka kwenu kwenda angani atakuja vivyo hivyo kama vile ambavyo mmemwona akienda angani.”
-