-
2 Timotheo 1:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Ninamshukuru Mungu, ninayemtolea utumishi mtakatifu kama mababu zangu walivyofanya, na nikiwa na dhamiri safi, siachi kamwe kukukumbuka katika dua zangu usiku na mchana.
-