Matendo 9:39 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 39 Ndipo Petro akainuka na kwenda pamoja nao. Alipofika, wakampeleka kwenye kile chumba cha juu; nao wajane wote wakaja kwake wakilia na kuonyesha mavazi mengi na majoho* ambayo Dorkasi alikuwa ametengeneza alipokuwa pamoja nao.
39 Ndipo Petro akainuka na kwenda pamoja nao. Alipofika, wakampeleka kwenye kile chumba cha juu; nao wajane wote wakaja kwake wakilia na kuonyesha mavazi mengi na majoho* ambayo Dorkasi alikuwa ametengeneza alipokuwa pamoja nao.