Mwanzo 5:21, 22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Enoko aliishi miaka 65, kisha akamzaa Methusela.+ 22 Baada ya kumzaa Methusela, Enoko aliendelea kutembea na Mungu wa kweli kwa miaka 300. Naye akazaa wana na mabinti.
21 Enoko aliishi miaka 65, kisha akamzaa Methusela.+ 22 Baada ya kumzaa Methusela, Enoko aliendelea kutembea na Mungu wa kweli kwa miaka 300. Naye akazaa wana na mabinti.