Ufunuo 8:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Malaika wa nne akaipiga tarumbeta yake. Na theluthi moja ya jua ikapigwa,+ pia theluthi moja ya mwezi, na theluthi moja ya nyota, ili theluthi moja ya hizo itiwe giza+ na mchana usiwe na nuru kwa theluthi moja, na usiku vivyo hivyo.
12 Malaika wa nne akaipiga tarumbeta yake. Na theluthi moja ya jua ikapigwa,+ pia theluthi moja ya mwezi, na theluthi moja ya nyota, ili theluthi moja ya hizo itiwe giza+ na mchana usiwe na nuru kwa theluthi moja, na usiku vivyo hivyo.