DRAMA YA 6
“Je, Wewe Ndiye Yule Anayekuja?”
Imani ya ofisa wa jeshi (gnj 6 00:00-04:31)
Yesu anamfufua mwana wa mjane huko Naini (gnj 6 04:57-08:56)
Yohana Mbatizaji anauliza kuhusu “Yule Anayekuja” (gnj 6 08:58-12:27)
Yesu anamsifu Yohana Mbatizaji (gnj 6 12:29-14:54)
Kizazi kisichoitikia (gnj 6 14:54-15:51)
Korazini, Bethsaida, na Kapernaumu zinashutumiwa (gnj 6 15:53-16:52)
Yesu anamsifu Baba yake kwa kuwapendelea wanyenyekevu (gnj 6 17:00-18:11)
Nira ya uanafunzi inaburudisha (gnj 6 18:11-18:53)
Mwanamke mtenda-dhambi anaipaka miguu ya Yesu mafuta (gnj 6 18:56-25:49)
Wanawake wanaambatana na Yesu (gnj 6 25:50-27:23)
Roho waovu wanafukuzwa kwa roho takatifu, si Beelzebuli (gnj 6 27:24-30:12)
Dhambi isiyoweza kusamehewa (gnj 6 30:12-30:52)
Mti unajulikana kwa matunda yake (gnj 6 30:54-31:56)
Ishara ya Yona (gnj 6 31:59-33:26)
Roho mwovu anaporudi (gnj 6 33:27-34:37)
Mama na ndugu za Yesu (gnj 6 34:42-36:12)
Yesu anafundisha umati akiwa kwenye mashua (gnj 6 36:13-36:34)
Mbegu zinapandwa katika aina nne tofauti za udongo (gnj 6 36:35-37:55)
Sababu iliyomfanya Yesu atumie mifano (gnj 6 38:00-40:49)
Mfano wa mpandaji unafafanuliwa (gnj 6 40:49-42:25)
Ngano na magugu (gnj 6 42:26-43:46)
Mbegu ya haradali na chachu (gnj 6 43:47-44:42)
Yesu anatimiza unabii kwa kutumia mifano (gnj 6 44:45-45:13)
Mfano wa ngano na magugu unafafanuliwa (gnj 6 45:14-47:10)
Hazina iliyofichwa na lulu nzuri (gnj 6 47:11-48:03)
Wavu wa kukokotwa (gnj 6 48:04-48:51)
Mwalimu wa watu wote anatoa hazina mpya na za zamani (gnj 6 48:52-49:59)