Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb26 Septemba kur. 8-9
  • Septemba 28–Oktoba 4

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Septemba 28–Oktoba 4
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2026
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2026
mwb26 Septemba kur. 8-9

SEPTEMBA 28–OKTOBA 4

YEREMIA 38-39

Wimbo 102 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Ebed-meleki akipiga magoti mbele ya Mfalme Sedekia na kumsihi aokoe uhai wa Yeremia huku walinzi wa makao ya kifalme wakitazama.

Ebed-meleki akizungumza na Sedekia ili kumtetea Yeremia

1. Endeleeni Kutegemezana

(Dak. 10)

Watetee na uwasaidie wengine kama Ebed-meleki alivyofanya (Yer 38:​7-9; w13 1/15 9 ¶12)

Wafariji wengine kama Yeremia alivyofanya (Yer 39:​15-18; w19.11 6 ¶17)

Watie moyo wengine wamtii Yehova kama Yeremia alivyofanya (Yer 38:20)


JIULIZE, ‘Katika kutaniko langu ni nani ninayehitaji kumtetea au kumsaidia?’—w20.09 24 ¶15-17.

Dada akimfariji dada anayeombeleza huku akiwa ameshika picha yake pamoja na mama yake.

Dada akimfariji rafiki yake ambaye amefiwa na mama yake hivi karibuni

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Yer 39:​6, 7—Mfalme Sedekia alifanya uamuzi gani mbaya, na vichwa vya familia wanajifunza nini kutokana na mfano wake? (jr 92 ¶1)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Yer 38:​1-13 (th somo la 12)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Anzisha funzo la Biblia na mtu ambaye anahangaishwa na mabadiliko makubwa ya hali ya hewa. (lmd somo la 9 jambo kuu la 3)

5. Kufuatia Upendezi

(Dak. 4) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Anzisha funzo la Biblia na mzazi. (lmd somo la 9 jambo kuu la 5)

6. Ungesema Nini?

(Dak. 6) Mazungumzo. NYUMBA KWA NYUMBA. Pitieni kwa ufupi lmd somo la 1 jambo kuu la 4. Rejelea picha, kisha waulize wasikilizaji:

Mwanamke na mwana wake mdogo wakiwa wamesimama mlangoni mwa nyumba yao.
  • Kwa kutegemea ulichoona katika picha hiyo, unaweza kuuliza swali gani ili kuanzisha mazungumzo?

  • Unaweza kushiriki naye kweli gani ya Biblia?

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 90

7. “Ni Nani Aliyenigusa?”

(Dak. 15) Mazungumzo.

Yesu anachuchumaa katikati umati wa watu na kwa fadhili anazungumza na mwanamke anayeteseka kwa sababu ya mtiririko wa damu.

Onyesha VIDEO. Kisha waulize wasikilizaji:

  • Tunaweza kufanya nini ili tujifunze kupitia mfano wa wengine?

  • Tunawezaje kugusa maisha ya wengine?

8. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) wcg sura ya 10

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 56 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2026)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2026 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki