1
Ushindi wa kabila la Yuda na la Simeoni (1-20)
Wayebusi waendelea kuishi Yerusalemu (21)
Yosefu achukua Betheli (22-26)
Wakanaani hawakufukuzwa wote (27-36)
2
3
Yehova awajaribu Waisraeli (1-6)
Othnieli, mwamuzi wa kwanza (7-11)
Mwamuzi Ehudi amuua Mfalme Egloni aliyekuwa mnene (12-30)
Mwamuzi Shamgari (31)
4
Mfalme Yabini wa Kanaani awakandamiza Waisraeli (1-3)
Nabii wa kike Debora na Mwamuzi Baraka (4-16)
Yaeli amuua Sisera mkuu wa jeshi (17-24)
5
6
Wamidiani wawakandamiza Waisraeli (1-10)
Malaika amhakikishia Mwamuzi Gideoni atapata msaada (11-24)
Gideoni abomoa madhabahu ya Baali (25-32)
Roho ya Mungu yamtia nguvu Gideoni (33-35)
Jaribio la manyoya (36-40)
7
8
Waefraimu wamlalamikia Gideoni (1-3)
Wafalme Wamidiani wafuatiliwa na kuuawa (4-21)
Gideoni akataa kuwa mfalme (22-27)
Historia fupi ya maisha ya Gideoni (28-35)
9
Abimeleki awa mfalme kule Shekemu (1-6)
Fumbo la Yothamu (7-21)
Utawala wa kikatili wa Abimeleki (22-33)
Abimeleki ashambulia Shekemu (34-49)
Mwanamke amjeruhi Abimeleki; Abimeleki afa (50-57)
10
Waamuzi Tola na Yairi (1-5)
Waisraeli waasi na kutubu (6-16)
Waamoni wataka kuwashambulia Waisraeli (17, 18)
11
Mwamuzi Yeftha afukuzwa, baadaye afanywa kuwa kiongozi (1-11)
Yeftha azungumza na Waamoni (12-28)
Nadhiri ya Yeftha na binti yake (29-40)
12
Apigana na Waefraimu (1-7)
Waamuzi Ibzani, Eloni, na Abdoni (8-15)
13
14
Mwamuzi Samsoni atafuta mke Mfilisti (1-4)
Roho ya Yehova yamwezesha Samsoni kumuua simba (5-9)
Samsoni atega kitendawili kwenye harusi (10-19)
Mwanamume mwingine apewa mke wa Samsoni (20)
15
16
17
18
19
20
21