-
Mwanzo 39:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Yosefu akaendelea kupata kibali machoni pa Potifa, naye akawa mhudumu wake binafsi. Kwa hiyo Potifa akamweka kuwa msimamizi wa nyumba yake, na wa vitu vyake vyote.
-