Mwanzo 4:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Baada ya hayo Kaini akamwambia Abeli ndugu yake: “Twende zetu shambani.” Basi walipokuwa shambani, Kaini akamshambulia Abeli ndugu yake, akamuua.+ Mwanzo Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 4:8 w02 9/15 28 Mwanzo Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 4:8 Mnara wa Mlinzi,1/1/2013, uku. 159/15/2002, uku. 28 Igeni, uku. 16
8 Baada ya hayo Kaini akamwambia Abeli ndugu yake: “Twende zetu shambani.” Basi walipokuwa shambani, Kaini akamshambulia Abeli ndugu yake, akamuua.+