-
Kutoka 25:33Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
33 Kila tawi litakuwa na vikombe vitatu vyenye umbo la maua ya mlozi; kila kikombe kitakuwa na ua na tumba lake. Hivyo ndivyo matawi hayo sita yatakavyotengenezwa kwenye shina la kinara hicho cha taa.
-