11 Kwa maana Mfalme Ogu wa Bashani ndiye Mrefaimu pekee aliyekuwa amebaki. Jeneza lake lilitengenezwa kwa chuma, na bado liko katika jiji la Waamoni la Raba. Lina urefu wa mikono tisa na upana wa mikono minne, kulingana na kipimo cha kawaida cha mkono.