1 Samweli 1:23 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 23 Ndipo Elkana mume wake akamwambia, “Fanya unaloona linafaa.* Kaa nyumbani mpaka utakapomwachisha kunyonya. Yehova na atimize jambo ulilosema.” Basi mwanamke huyo akakaa nyumbani, akaendelea kumnyonyesha mwana wake mpaka alipomwachisha kunyonya.
23 Ndipo Elkana mume wake akamwambia, “Fanya unaloona linafaa.* Kaa nyumbani mpaka utakapomwachisha kunyonya. Yehova na atimize jambo ulilosema.” Basi mwanamke huyo akakaa nyumbani, akaendelea kumnyonyesha mwana wake mpaka alipomwachisha kunyonya.