1 Samweli 17:40 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 40 Kisha akachukua fimbo yake mkononi, akajichagulia mawe matano laini kutoka katika bonde la kijito, akayaweka kwenye kifuko ndani ya mfuko wake wa mchungaji, na kombeo+ lilikuwa mkononi mwake. Naye akaanza kumkaribia huyo Mfilisti. 1 Samweli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 17:40 Mnara wa Mlinzi (Toleo la Watu wote),Na. 5 2016, uku. 11
40 Kisha akachukua fimbo yake mkononi, akajichagulia mawe matano laini kutoka katika bonde la kijito, akayaweka kwenye kifuko ndani ya mfuko wake wa mchungaji, na kombeo+ lilikuwa mkononi mwake. Naye akaanza kumkaribia huyo Mfilisti.