2 Samweli 4:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Itakuwaje wakati wanaume waovu wamemuua mtu mwadilifu nyumbani mwake mwenyewe akiwa katika kitanda chake? Kwa nini nisidai damu yake kutoka mikononi mwenu+ na kuwaangamiza kutoka duniani?”
11 Itakuwaje wakati wanaume waovu wamemuua mtu mwadilifu nyumbani mwake mwenyewe akiwa katika kitanda chake? Kwa nini nisidai damu yake kutoka mikononi mwenu+ na kuwaangamiza kutoka duniani?”