-
1 Wafalme 13:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Lakini mtu wa Mungu wa kweli akamwambia mfalme: “Hata ukinipa nusu ya nyumba yako, siwezi kwenda pamoja nawe na kula mkate au kunywa maji mahali hapa.
-