-
2 Mambo ya Nyakati 13:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Na wanaume wazembe, wasiofaa kitu wakaendelea kujiunga naye. Nao walimzidi maarifa Rehoboamu mwana wa Sulemani, Rehoboamu alipokuwa kijana mchanga asiye na ujasiri, naye hangeweza kushindana nao.
-