6 Ndiyo sababu simba kutoka msituni anawashambulia,
Mbwamwitu wa majangwa tambarare anaendelea kuwararua,
Chui anakaa macho kwenye majiji yao.
Kila mtu anayetoka humo anararuliwa vipandevipande.
Kwa maana makosa yao ni mengi;
Matendo yao ya ukosefu wa uaminifu ni mengi sana.+