-
Ezekieli 37:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Kisha nikatabiri kama nilivyoamriwa. Mara tu nilipotabiri, nikasikia sauti, sauti ya vitu vinavyogongana, nayo mifupa ikaanza kukaribiana, mfupa kwa mfupa.
-