Mika 7:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Adui yangu pia ataona,Na aibu itamfunika yule aliyeniambia: “Yuko wapi Yehova Mungu wako?”+ Macho yangu yatamtazama adui yangu. Sasa atakanyagwa-kanyagwa kama matope barabarani.
10 Adui yangu pia ataona,Na aibu itamfunika yule aliyeniambia: “Yuko wapi Yehova Mungu wako?”+ Macho yangu yatamtazama adui yangu. Sasa atakanyagwa-kanyagwa kama matope barabarani.