-
Luka 11:30Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
30 Kwa maana sawa na vile Yona alivyopata kuwa ishara kwa Waninewi, ndivyo Mwana wa binadamu atakavyokuwa pia kwa kizazi hiki.
-