-
Luka 11:39Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
39 Lakini Bwana akamwambia: “Sasa nyinyi Mafarisayo, husafisha upande wa nje wa kikombe na sahani, lakini upande wenu wa ndani umejaa uporaji na uovu.
-