-
Luka 12:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Wakati huohuo, umati ulipokuwa umekusanyika pamoja kwa maelfu mengi sana hivi kwamba walikuwa wakikanyagana, yeye alianza kwa kuwaambia kwanza wanafunzi wake: “Jihadharini na chachu ya Mafarisayo, ambayo ni unafiki.
-