-
Luka 20:20Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Na, baada ya kumtazama sana, wakatuma watu walioajiriwa kwa siri wasingizie kwamba walikuwa waadilifu, ili wapate kumnasa katika usemi, ili wamkabidhi kwa serikali na kwa mamlaka ya gavana.
-