-
Matendo 17:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 Lakini Wayahudi, wakipata kuwa na wivu, wakashirikiana na wanaume fulani waovu kati ya wazururaji wa mahali pa soko na kufanyiza kikundi chenye ghasia ili kulitupa jiji katika ghasia. Nao wakaishambulia nyumba ya Yasoni na kuanza kujaribu sana kuwaleta mbele kwenye watu wenye kufanya ghasia.
-