-
Waroma 7:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 Kwa maana najua kwamba katika mimi, yaani, katika mwili wangu, halikai jambo lolote jema; kwa maana uwezo wa kutaka upo pamoja nami, bali uwezo wa kufanya lililo bora haupo.
-