-
1 Wathesalonike 3:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Zaidi ya hayo, Bwana na asababishe nyinyi mwongezeke, ndiyo, awafanye nyinyi mzidi, katika upendo kwa mtu na mwenzake na kwa wote, kama vile sisi pia tuwafanyiavyo nyinyi;
-