-
Yuda 12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Hao ndio miamba iliyofichwa chini ya maji katika karamu zenu za upendo huku wakila karamu pamoja nanyi, wachungaji ambao hujilisha wenyewe bila hofu; mawingu yasiyo na maji ambayo yachukuliwa na pepo huku na huku; miti katika majira ya mpukutiko yaliyosonga, lakini isiyo na matunda, ikiisha kufa mara mbili, ikiisha kung’olewa na mizizi;
-