-
Ufunuo 21:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Lilikuwa na ukuta mkubwa na mrefu sana nalo lilikuwa na malango 12, na malaika 12 kwenye malango hayo, na majina ya makabila 12 ya wana wa Israeli yalikuwa yameandikwa kwenye malango hayo.
-
-
Ufunuo 21:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Lilikuwa na ukuta mkubwa na ulioinuka juu sana na lilikuwa na malango kumi na mawili, na kwenye hayo malango malaika kumi na wawili, na majina yalikuwa yameandikwa ambayo ni yale ya makabila kumi na mawili ya wana wa Israeli.
-