-
Mwanzo 31:34Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
34 Basi Raheli alikuwa amechukua hizo terafimu, naye akaziweka katika kikapu cha matandiko ya kukaliwa na mwanamke juu ya ngamia, naye akaendelea kuzikalia. Basi Labani akakagua hema lote, lakini hakuzipata.
-
- Ukubwa wa Herufi