-
Kutoka 34:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Basi Musa akachonga mabamba mawili ya mawe kama yale ya kwanza na kuamka asubuhi na mapema, akaenda juu katika Mlima Sinai, kama vile Yehova alivyokuwa amemwamuru, naye alikuwa ameyachukua yale mabamba mawili ya mawe mikononi mwake.
-