-
Mambo ya Walawi 19:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 “‘Sasa mwanamume akilala na mwanamke na shahawa imtoke, wakati ambapo yeye ni mjakazi aliyewekwa kwa ajili ya mwanamume mwingine, naye hajakombolewa kwa njia yoyote wala hajapewa uhuru, adhabu itatolewa. Watu hao wasiuawe, kwa sababu hakuwa amewekwa huru.
-