Mambo ya Walawi 23:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 “Sema na wana wa Israeli, nawe uwaambie, ‘Mwishowe mtakapoingia katika nchi ambayo nitawapa ninyi, nanyi mtakapokuwa mmevuna mavuno yake, mtaleta pia mganda wa matunda ya kwanza+ ya mavuno yenu kwa kuhani. Mambo ya Walawi Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 23:10 w07 7/15 26 Mambo ya Walawi Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 23:10 Mnara wa Mlinzi,7/15/2007, uku. 26
10 “Sema na wana wa Israeli, nawe uwaambie, ‘Mwishowe mtakapoingia katika nchi ambayo nitawapa ninyi, nanyi mtakapokuwa mmevuna mavuno yake, mtaleta pia mganda wa matunda ya kwanza+ ya mavuno yenu kwa kuhani.