Mambo ya Walawi 26:34 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 34 “‘Na wakati huo nchi italipa sabato zake siku zote za kukaa kwake ukiwa, huku ninyi mkiwa katika nchi ya adui zenu. Wakati huo nchi itashika sabato, kwa maana lazima ilipe sabato zake.+
34 “‘Na wakati huo nchi italipa sabato zake siku zote za kukaa kwake ukiwa, huku ninyi mkiwa katika nchi ya adui zenu. Wakati huo nchi itashika sabato, kwa maana lazima ilipe sabato zake.+