Hesabu 6:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Naye ataishi kama Mnadhiri+ kwa Yehova kwa siku za Unadhiri wake, naye ataleta mwana-kondoo dume aliye katika mwaka wake wa kwanza awe toleo la hatia;+ nazo siku zile za kwanza hazitahesabiwa kwa sababu aliunajisi Unadhiri wake.
12 Naye ataishi kama Mnadhiri+ kwa Yehova kwa siku za Unadhiri wake, naye ataleta mwana-kondoo dume aliye katika mwaka wake wa kwanza awe toleo la hatia;+ nazo siku zile za kwanza hazitahesabiwa kwa sababu aliunajisi Unadhiri wake.