Kumbukumbu la Torati 2:24 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 24 “‘Ondokeni, mshike njia na kuvuka bonde la mto la Arnoni.+ Tazama, nimemtia mkononi mwako Sihoni+ mfalme wa Heshboni, yule Mwamori. Kwa hiyo anza kumiliki nchi yake, na kupigana vita naye.
24 “‘Ondokeni, mshike njia na kuvuka bonde la mto la Arnoni.+ Tazama, nimemtia mkononi mwako Sihoni+ mfalme wa Heshboni, yule Mwamori. Kwa hiyo anza kumiliki nchi yake, na kupigana vita naye.