Waamuzi 9:49 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 49 Basi watu wote wakajikatia tawi kila mmoja wao, wakamfuata Abimeleki. Ndipo wakayaweka juu ya ngome ile, nao wakaitia moto ngome hiyo juu yao, hivi kwamba watu wote wa mnara wa Shekemu wakafa pia, karibu watu elfu moja, wanaume na wanawake.+
49 Basi watu wote wakajikatia tawi kila mmoja wao, wakamfuata Abimeleki. Ndipo wakayaweka juu ya ngome ile, nao wakaitia moto ngome hiyo juu yao, hivi kwamba watu wote wa mnara wa Shekemu wakafa pia, karibu watu elfu moja, wanaume na wanawake.+