-
1 Samweli 15:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 Baada ya hayo Samweli akasema: “Mleteni Agagi mfalme wa Amaleki karibu nami.” Ndipo Agagi akaenda kwake kwa kusitasita, na Agagi akaanza kusema moyoni mwake: “Kwa kweli uchungu wa kifo umeondoka.”
-