-
1 Samweli 18:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Zaidi ya hayo, Sauli akawaamuru watumishi wake: “Semeni hivi na Daudi kisiri, ‘Tazama! Mfalme amependezwa nawe, na watumishi wake wote wamekupenda wewe. Basi sasa fanya mapatano ya ndoa na mfalme.’”
-