-
1 Samweli 21:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Na Daudi akamwambia tena Ahimeleki: “Je, hakuna chochote hapa kwako, mkuki au upanga? Kwa kuwa sikuchukua mkononi mwangu upanga wangu wala silaha zangu, kwa sababu jambo hili la mfalme lilikuwa la haraka.”
-