2 Samweli 9:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Basi nyumba ya Sauli ilikuwa na mtumishi ambaye jina lake lilikuwa Siba.+ Kwa hiyo wakamwita, akaja kwa Daudi, ndipo mfalme akamwambia: “Je, wewe ni Siba?” naye akasema: “Mimi ni mtumishi wako.”
2 Basi nyumba ya Sauli ilikuwa na mtumishi ambaye jina lake lilikuwa Siba.+ Kwa hiyo wakamwita, akaja kwa Daudi, ndipo mfalme akamwambia: “Je, wewe ni Siba?” naye akasema: “Mimi ni mtumishi wako.”