2 Samweli 15:34 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 34 Lakini ukirudi jijini nawe umwambie Absalomu, ‘Mimi ni mtumishi wako, Ee mfalme. Nilikuwa mtumishi wa baba yako wakati ule, naam mimi, lakini sasa mimi, naam mimi, ni mtumishi wako,’+ ndipo utavunja+ shauri la Ahithofeli kwa ajili yangu.
34 Lakini ukirudi jijini nawe umwambie Absalomu, ‘Mimi ni mtumishi wako, Ee mfalme. Nilikuwa mtumishi wa baba yako wakati ule, naam mimi, lakini sasa mimi, naam mimi, ni mtumishi wako,’+ ndipo utavunja+ shauri la Ahithofeli kwa ajili yangu.