10 Kisha Mfalme Ahazi+ akaenda kukutana na Tiglath-pileseri+ mfalme wa Ashuru kule Damasko, naye akaiona madhabahu+ iliyokuwa katika Damasko. Kwa hiyo Mfalme Ahazi akamtumia Uriya kuhani muundo wa ile madhabahu na kielelezo chake kuhusiana na muundo wake wote.+