Isaya 7:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Na itatukia kwamba, kutokana na wingi wa kutokezwa kwa maziwa, atakula siagi; kwa sababu siagi na asali+ ndivyo vitu atakavyokula kila mtu aliyebaki katikati ya nchi. Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 7:22 ip-1 110 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 7:22 Unabii wa Isaya 1, kur. 110-111
22 Na itatukia kwamba, kutokana na wingi wa kutokezwa kwa maziwa, atakula siagi; kwa sababu siagi na asali+ ndivyo vitu atakavyokula kila mtu aliyebaki katikati ya nchi.